Ili kumpata mbuzi bora mwenye nyama bora au uzalishaji wa maziwa mengi. Kunahitaji mambi mengi, ikiwa ni pamoja na kuwapa mbuzi chakula cha kutosha kulingana na mahitaji ya mbuzi wako ili kuwasaidia kukua kwa kasi na kuzalisha maziwa zaidi au nyama. Ingawa mbuzi wetu ni kawaida kutafuta vyakula kwenye machungoni. Kawaida, wanaweza kwenda mbali na eneo lao kutafuta chakula. Aina hii ya ufugaji huwafanya mbuzi kutumia muda mwingi na nguvu nyingi ya chakula kwa kutafuta chakula tu na kushindwa kufikia mahitaji yake ya lishe. Kwa kawaida mbuzi ni mifugo yenye uwezo mkubwa wa kustahimili hali ngumu sana na kuvumilia mabadiliko ya hali ya hewa sana. Timiza malengo ya ufugaji wa tija kwa kuwapatia chakula cha ziada. Dr Ngogo R (DVM) 0763222500 *Jiunge na Farmers Platform Fuga kwa Tija.*

Soma zaidi  

Weka kumbukumbu za chanjo vizuri ili kurahisisha tarehe ya chanjo ya marudio.

Soma zaidi  

A Little education may help to improve your poultry farming. Ufugaji wa kuku wa asili

Soma zaidi  

Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa. *Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji*

Soma zaidi  

(AI) UHAMILISHAJI/ Artificial Insemination* inajulikana kwa wafugaji wengi kama AI, ni moja ya mbinu za kuzaliana ambazo zimechangia katika maendeleo ya sekta mifugo hasa katuka sekta ya maziwa katika nchi zilizofanikiwa kwenye ufygaji wenye tija na faida kubwa.

Soma zaidi  

Watu Wengi wanakimbilia ufugaji/kilimo baada ya kuona majirani na marafiki zao wamepata mavuno bora na yenye faida. Watu wa aina hii hawatengi muda wao wa kujifunza kuhusu mienendo ya soko na mahitaji na uzalishaji wa bidhaa na mazao ya mifugo.

Soma zaidi  

Watu Wengi wanakimbilia ufugaji/kilimo baada ya kuona majirani na marafiki zao wamepata mavuno bora na yenye faida. Watu wa aina hii hawatengi muda wao wa kujifunza kuhusu mienendo ya soko na mahitaji na uzalishaji wa bidhaa na mazao ya mifugo.

Soma zaidi  

Ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni hatari kwa maisha ya mifugo na binadamu waishio karibu na mifugo.

I BUILT MY SITE FOR FREE USING