Veterinarian, kanda ya Kati.
Ni Veterinarian aliyesajiliwa, anafanya kazi Resta Veterinary Centre, Mwandishi wa Vitabu vya Mwongozo bora kwa Ufugaji wenye tija. pia msimamizi wa miradi ya ufugaji mikoa ya Morogoro, Dodoma na Pwani.
Veterinarian, kanda ya Kusini.
Ni Veterinarian aliyesajiliwa, Mshauri na Mtaalamu wa kudhibiti magonjwa ya Mifugo na Msimamizi wa Miradi ya Mifugo na Uvuvi.
Veterinarian, kanda ya Mashariki.
Ni registered Veterinarian, Mshauri wa mambo yahusuyo Ufugaji na Uvuvi, Mtaalam wa huduma mbalimbali za mifugo na uvuvi kutoka Cityfarm Veterinary centre.
Veterinarian, kanda ya Mashariki
Ni Veterinarian aliyesajiliwa, Mwandishi wa Vitabu vya ufugaji, Mshauri wa mambo ya mifugo na uvuvi kutoka Mifugo Tz.
Professional Dog trainer
Ni Mtaalam wa mafunzo ya mbwa (dog training) 4dog trainers. Ni mwalimu mwenye uzoefu na uwezo mkubwa wa kumfanya mbwa awe na usikivu utii na awe na tabia unayoitaka kwa matumizi mbalimbali kama ulinzi, pets n.k