Vitabu

Mwongozo Bora Ufugaji wa KUKU

Ongeza uwezo wa Kufuga KUKU Kibiashara. Ujenzi wa mabanda bora , Kulea Vifaranga,Kuchanganya chakula cha kuku, Kudhibiti Magonjwa ya kuku, Kutumia gharama kidogo Faida kubwa, Utagaji bora wa kuku, Ufugaji unaokidhi mahitaji ya soko. 0763222500

  

Sh5000

Mwongozo Bora Ufugaji wa NGURUWE

Ongeza uwezo wa kufuga nguruwe wengi kwa faida ndani ya muda mfupi. Fahamu mambo yote yahusuyo nguruwe hatua kwa hatua. Kuchagua nguruwe bora, Ujenzi wa mabanda, Kuchanganya chakula cha nguruwe, Kulea na kuhudumia nguruwe, kudhibiti magonjwa ya nguruwe, kunenepesha nguruwe N.K Nunua kitabu hiki kwa gharama nafuu kikusaidie siku zote za ufugaji wako. 0763222500

  

Sh5000

KITABU CHA UFUGAJI BORA WA SUNGURA

Jipatie kitabu cha Ufugaji Bora wa Sungura. Fuga Sungura kwa faida, Fahamu Mambo yote kuhusu Sungura na Biashara ya Sungura. 0625994023

Mifugo/Mbegu

PIGLETS IN GOOD CONDITION FOR SALE

Pata nguruwe watoto PIGLETS wapo katika hali nzuri. Fuga pata kipato ndani ya Muda Mfupi.

NG'OMBE BORA WA MAZIWA (FRIESIAN) MWENYE MIMBA

Ng'ombe bora wa maziwa (Friesian), Umri miaka 3, Mimba miezi 5, Maziwa Lita 20 kwa siku. SIMU 0763222500

  

Sh1500000

Uuzaji

BATA MUSCOVY DUCKS FOR SALE

Muscovy duck Uzito kilo 3.5 hadi 6.5Kg. Wapole. Wana nyama nzuri na nyingi. Hawapati magonjwa kirahisi. Wanafugika vizuri. Call 0763222500.

  

Sh35000Sh30000

Uuzaji

KANGA WA MADOA NA WEUPE FOR SALE

Kanga wa Madoa. Wamepatiwa chanjo na huduma zote. Wapo katika hali nzuri. Call 0763222500

  

Sh40000Sh35000

Madawa/Chanjo

Chanjo za Mbwa

Huduma za uhakika na zenye ubora kwa ufugaji wwnye tija

Kutembelea Shambani/nyumbani (Visit and consultation)

Epuka Vishoka. Pata huduma za uhakika kutoka kwa wataalamu waliosajiriwa na kutambulika na vyombo husika. Fuga kwa tija.

I BUILT MY SITE FOR FREE USING