Watu wengi wameanzisha miradi ya ufugaji lakini wamejikuta wameingia kwenye vikwazo vingi vinavyo warudisha nyuma na kushindwa kufikia malengo na kilele cha mafanikio kwa muda uliopangwa.
*Suluhisho kubwa ni kupata ujuzi wa muhimu unaotakiwa/hitajika kwa muda mwafaka kabla na wakati wote wa uendeshaji wa miradi ya ufugaji*
UJUZI HUO NI PAMOJA NA VITU MUHIMU VILIVYOTAJWA HAPA
β
*mifumo ya ufugaji wa nguruwe*
1β£ Ufugaji wa nguruwe kwa mfumo huria.(free range, scavenginh)
2β£ Ufugaji nguruwe kwa mfumo wa nusu huria (semi intensive)
3β£Ufugaji nguruwe kwa mfumo wa ndani (small scale intensive)
β
*Ujengaji wa mabanda ya ngurue na muundo wake lazima uzingatie*
1β£ Hali ya hewa
2β£ Mahitaji ya kiufundi kwa ajili ya banda zuri
3β£ Vilishio vya chakula na vinywesheo vya maji
4β£ Ukubwa wa banda
5β£ banda la nguruwe wanaonyonyesha na watoto (piglets)
6β£ banda la nguruwe wa kunenepesha
7β£ Usafi wa banda
β
*Uzalishaji wa nguruwe zingatia haya*
1β£ Kusimamia nguruwe majike wazazi
2β£ Kuchagua dume bora la nguruwe
3β£ uzalishaji na utunzaji wa nguruwe wanaozaliwa
4β£ Matatizo yanayohusiana na kuzaliwa
5β£ Kulea vizuri watoto wa nguruwe piglets
6β£ Kutengeneza mazingira ya kuwanenepesha nguruwe
7β£ Kuhifadhi kumbukumbu vizuri
β
*Matatizo ya uzazi na uzalishaji wa nguruwe*
1β£ nguruwe jile kuto kuonyesha dalili za kuingia joto na kushindwa kushika mimba
2β£ Ugonjwa unaosababisha matatizo ya uzazi, mimba kuharibika na kutupa mimba na vifo vya nguruwe wadogo
β
*Kulisha Nguruwe zingatia haya*
1β£ ratiba muhimu
2β£ Mahitaji ya lishe kwa nguruwe kulingana na umri na jinsia ya nguruwe na hali ya kiafya ya nguruwe
3β£ Vyakula vyenye Vyanzo vya nishati, protini, madini na vitamini
4β£Kulisha nguruwe, kutoka umri wa kunenepesha
5β£Kulisha nguruwe wanaonyonyesha na watoto wao
β
*Magonjwa ya nguruwe kuzuia na kudhibiti zingatia*
1β£Kuzuia kwa kuongeza kinga dhidi ya magonjwa
2β£ kuondoa Viumbe visababishi vya magonjwa
3β£Matumizi sahihi ya madawa juu ya magonjwa ya vimelea magonjwa ya bakteria magonjwa ya virusi
β
*Magonjwa yanayohusiana chakula na malisho na lishe zingatia*
1β£Chakula salama na kisafi kisichokuwa na uvundo fangasi
2β£Kiasi sahihi kulingana na nguruwe mlaji
3β£Tumia chakula chenye virutubisho vya muhimu
πβ *Dr Riziki Ngogo (veterinarian)*
*0763222500*
*0652515242*
afyamifugo@gmail.com
AfyaMIFUGO Tz
*afyamifugo.blogspot.com*