Ili kumpata mbuzi bora mwenye nyama bora au uzalishaji wa maziwa mengi. Kunahitaji mambi mengi, ikiwa ni pamoja na kuwapa mbuzi chakula cha kutosha kulingana na mahitaji ya mbuzi wako ili kuwasaidia kukua kwa kasi na kuzalisha maziwa zaidi au nyama. Ingawa mbuzi wetu ni kawaida kutafuta vyakula kwenye machungoni. Kawaida, wanaweza kwenda mbali na eneo lao kutafuta chakula. Aina hii ya ufugaji huwafanya mbuzi kutumia muda mwingi na nguvu nyingi ya chakula kwa kutafuta chakula tu na kushindwa kufikia mahitaji yake ya lishe. Kwa kawaida mbuzi ni mifugo yenye uwezo mkubwa wa kustahimili hali ngumu sana na kuvumilia mabadiliko ya hali ya hewa sana. Timiza malengo ya ufugaji wa tija kwa kuwapatia chakula cha ziada. Dr Ngogo R (DVM) 0763222500 *Jiunge na Farmers Platform Fuga kwa Tija.*
Soma zaidisoma hapa
Soma zaidi